Featured

Ethiopia on the brink of civil war. The legacy of the late PM of Meles Zenawi ,Oromia-Somali Ethenic

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by mereja.tv

Ethiopia on the brink of civil war. The legacy of the late PM of Meles Zenawi ,Oromia-Somali Ethnic Conflict

Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa na maelfu kutoroka makwao baada ya kuzuka mapigano katika eneo la Oromia, kwenye mpaka wa Somalia na Ethiopia.

Kulingana na Adisu Arega, msemaji wa serikali ya Oromia, watu kumi na wanane wanaripotiwa kuuawa kufikia sasa na kumi na wawili ya waliouawa ni raia wa Somalia.

Serikali ya Somalia imekanusha idadi ya watu waliofariki wakisema kuwa zaidi ya wasomali 30 wameuawa katika jiji la Oromia.

Category
News

Post your comment